Thursday 13 March 2025 - 14:18
Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya kumi na mbili

Ee Mwenyezi Mungu! Nipambe katika mwezi huu wa Ramadhani kwa sitara yaani (vazi) la kukuogopa, na Unisitiri katika mwezi huu kwa vazi la kukinai na kutosheka, na Unielekeze katika mwezi huu kwenye uadilifu na usawa. Na Unisalimishe katika mwezi huu na kila nikiogopacho kwa kinga yako Ewe Mhifadhi wa wenye kuogopa.

Shirika la Habari la Hawza - Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya kumi na mbili:

اللّهُمَّ زَینِّی فِیهِ بِالسِّتْرِ وَالْعَفافِ، وَاسْتُرْنِی فِیهِ بِلِباسِ الْقُنُوعِ وَالْکفافِ، وَاحْمِلْنِی فِیهِ عَلَی الْعَدْلِ وَالْإِنْصافِ، وَآمِنِّی فِیهِ مِنْ کلِّ مَا أَخافُ، بِعِصْمَتِک یا عِصْمَةَ الْخائِفِینَ.

Ee Mwenyezi Mungu! Nipambe katika mwezi huu wa Ramadhani kwa sitara yaani (vazi) la kukuogopa, na Unisitiri katika mwezi huu kwa vazi la kukinai na kutosheka, na Unielekeze katika mwezi huu kwenye uadilifu na usawa. Na Unisalimishe katika mwezi huu na kila nikiogopacho kwa kinga yako Ewe Mhifadhi wa wenye kuogopa.

Sikia

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha